Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Falsafa ya 4R's (Maridhiano, Uvumilivu, Mageuzi, na Ujenzi Upya (MUMU) ina manufaa makubwa katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hasa inapohusisha uwazi na ushirikiano wa vyama vyote...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
TRA: MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWAKUMBUSHA WALIPAKODI KUTEKELEZA WAJIBU WA KULIPA KODI KWA MUJIBU WA SHERIA Dar es Salaam, 18 Mei, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
794 Views
Wajuzi wa katiba na sheria za Kenya nauliza baada ya Naibu Raisi wa Kenya Gachagua kuondolewa na Bunge kwa tuhuma za ufisadi atashtakiwa mahakamani ? Au ataachwa ale kuku kwa mrija vile alivyo fisadi
1 Reactions
5 Replies
235 Views
MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi. Shirika la Changamoto za Milenia...
2 Reactions
31 Replies
809 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa...
2 Reactions
3 Replies
904 Views
Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia...
0 Reactions
31 Replies
979 Views
Kwa sasa, Tanzania iko kwenye mchakato muhimu wa uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini hali ya mambo inazua mjadala mkubwa. Kila kona ya nchi, kunasikika...
1 Reactions
4 Replies
352 Views
Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa mfano swala la Gachagua yule Shujaa Magufuli wa Tanzania angelimaliza yeye mwenyewe Namshauri Rais wa Kenya aige Mfumo wa Shujaa Magufuli vinginevyo impeachment inayofuata anaweza Kuwa yeye...
8 Reactions
31 Replies
662 Views
Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa...
24 Reactions
79 Replies
3K Views
Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapo Chadema kwa akina Mchungaji Msigwa na kule CCM kwa akina Daktari Kigwangala changamkieni Fursa za Uongozi kule Mashariki ya Kati Gaza kuna Vyeo Kibao havina wenyewe Waarabu wamevikimbia...
8 Reactions
45 Replies
870 Views
Tangu nimepata akili za kufuatilia siasa wasajili wa vyama vya siasa ninaowafahamu ni John Tendwa na huyu wa sasa Francis Mutungi, Sina kumbukumbu kama katika kipindi cha miaka 15 kumekuwa na...
2 Reactions
27 Replies
746 Views
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA ALMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Kuna wana CCM wanafurahia uhuni wanaofanyiwa wapinzani kwenye chaguzi. Kwao inawapa sense ya ufahari ya kujiona wana power fulani hivi inayowawezesha kuiruhusu haki kwa kupenda au kuiminya haki...
3 Reactions
5 Replies
262 Views
Habari za Sabato! Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila...
19 Reactions
171 Replies
4K Views
Tarehe 18 Oktoba 2024 ilikuwa siku ya kihistoria baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Waziri wake Prof Adolph F. Mkenda kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Zaidi ya Sh 115 Milioni zitatumika kujenga Kituo cha kisasa cha Polisi katika Kijiji cha Bashnet Wilayani Babati ili kukidhi haja ya kusogeza Huduma za kipolisi kwa Wananchi. Hayo yamesemwa leo...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Back
Top Bottom