Rais wa mabunge dunia amesikika, ameongea na ameeleweka na kwa kuongea kwake wengi wanampongeza msomi mbobevu wa sheria
Binafsi naona kuna ukakasi kwake kama kiongozi mkubwa wa IPU kuongea kwa...
Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini....
1. Watoto chini ya...
Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi...
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya...
Wakati wakiwa madarakani walikua wakitamba na magari wasio yajua yananunuliwa kwa nguvu za nani, Amino nawaambia hata punje ilio ndogo ikitolewa kwenye gunia basi amini halitakua gunia kamili...
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika...
NGARA: MICHE YA KAHAWA YAGAWIWA KWA WANANCHI WILAYANI - NGARA
Mhe. Ndasaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara amefika kwenye vitalu vya Kahawa na kushuhudia ugawaji wa Miche hiyo katika...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara yake ya kuangalia jinsi huduma za uandikishaji wa wananchi wenye sifa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa...
JE UNAMJUA DR TULIA ACKSON, MWANASHERIA MSOMI KAMA WANASHERIA WANAVYOJIPALILIA?
MAKALA HII IMEANDIKWA NA
Comrade Ally Maftah
(PACOME WA MCHONGO)
Dr Tulia amezaliwa tar 23 November 1976 katika...
Kuna wakati unajiuliza hii nchi watu wake wanataka nini, lakini baadae unapata majibu nchi hii watu wake wamekata tamaa kwa jinsi inavyoendeshwa, na kieleele changu nikajifanya nina uzalendo sana...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka muda huu pasipo hofu wala mashaka unaweza ukasema bila kusita wala wasiwasi kuwa Dr Tulia ndiye Rais ajaye wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU.Hii ni kutokana na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024...
GENEVA (17 Oktoba 2024) – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani...
Kwa mfumo wa Daftari la Wapiga Kura lilivyo hao CCM wataandikisha Wanafunzi Ili iweje
Hebu nipeni mantiki maana Wapinzani wa nchi hii hasa Chadema shingo zao zimebeba parachichi tu siyo vichwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa...
Wanabodi,
Leo tunaadhimisha miaka 25 bila ya Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho rasmi Silver Jubilee yanaendelea kule kijijini kwake Butiama, swali ni "Kwa Miaka hii...
...tunaendelea
Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.