Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.
Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke...
Kosa la hawa ndugu zetu wambulu ni nini kwa serikali hii ya CCM? Mji wa Mbulu ndio origin ya wairaqw(Wambulu).
Mwaka 2022 ulianzishwa ujenzi wa barabara ya lami Km 25 tu kutoka Mbulu mjini na...
Wakuu,
Naona kama joto la uchaguzi limezidi kuwa la moto na hii ni baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA huko jijini Mbeya kuwavaa CCM na chama chao
Masaga Pius Kaloli akiwa anazungumza leo huko jjini...
Hapa barani Africa kuna Katiba za baadhi ya nchi hazinaga Upendo kabisa
Yaani Kiongozi namba 2 kalazwa hospital lakini hakuna anayejali
Upendo Huvumilia Hauhesabu mabaya
Mlale unono 😀
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame...
Kutokana na muungano wa sasa kuwa na makando kando (kero za muungano) ambayo miaka nenda rudi hayajaweza kutatuliwa na kizazi cha babu zetu, baba zetu.
Sisi kizazi cha DOT COM ambacho hakina...
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za...
Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi
Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia...
Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na...
Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na...
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe...
Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Serikali ya Tanzania siku 14 kuwasilisha majibu na kiapo kinzani katika shauri la kupinga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024.
Uchaguzi huo...
Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote...
Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada...
Hamasa na shauku ya wasomi hawa vijana wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu wenye sifa na vigezo vya kujiandikisha na hatimae kushiriki zoezi la maamuzi kupitia sanduku la kura, unadhni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.