Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ikumbukwe aliyekuwa Waziri wa Foreign mh January Makamba alipokwenda Nairobi kuweka Jiwe la msingi la Ujenzi wa Ghorofa Pacha za Uwekezaji Wakenya waliohudhuria walimuomba agombee nafasi ya...
0 Reactions
6 Replies
260 Views
Kwa sasa ndio nimeelewa kwanini cheo cha Mkuu Wilaya kinapigwa vita na akitakiwi kuwepo kabisa ni cheo cha kichawa kinachoingiza hasara tu ya kodi za wananchi. Siku ya jana Alhamisi tarehe 17...
3 Reactions
8 Replies
525 Views
Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na...
7 Reactions
20 Replies
531 Views
SAASHISHA MAFUWE ATOA SHIME KWA WANANCHI WA JIMBO LA HAI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA "Tunaenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatanguliwa na...
1 Reactions
0 Replies
122 Views
Kabla sijatoa sababu za kwanini ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani nitaorodhesha majina ya wababe waliowahi kujaribu kuiondoa ccm madarakani na Hali zao kwa sasa ,1995 ndio Kila mtu...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mhe. Salma Rashid Kikwete, ameshiriki katika zoezi la uandikishaji wa wakazi lililofanyika kijijini Ruvu, kitongoji cha Makasini, kata ya Mchinga, Jimbo la Mchinga...
1 Reactions
4 Replies
307 Views
Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri. Ujumbe wangu kwako Dkt...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo. Yaani...
33 Reactions
118 Replies
3K Views
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa...
1 Reactions
10 Replies
566 Views
Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo...
16 Reactions
36 Replies
1K Views
NAIBU WAZIRI DANIEL SILLO AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA OFISI INAYOSHUGHULIKIA WAKIMBIZI NA UHAMIAJI NCHINI MAREKANI Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amekutana na...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
KAWAIDA ATINGA SOKONI NA KISIPIKA KUHAMASISHA UANDIKISHAJI BIHARAMULO Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Ndg. Mohammed Ali Kawaida ameongoza zoezi la...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Katika shindano la "stories of change 2024" lililohusu maandiko yanayoelezea "Tanzania tuitakayo" nilisema ni vyema kuwe na utaribu wa kuhakiki wale wanaoandikishwa kupiga kura sio tunaandikisha...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam (sasa Masjala Ndogo), imejizuia kuamua kama ni halali au si halali...
2 Reactions
14 Replies
712 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Habari za kuaminika nilizopata hivi punde ni kwamba RPC Wa mkoa Wa mwanza KAMANDA BALO amekufa kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitaendelea!! Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi...
25 Reactions
1K Replies
105K Views
Vurugu zimetulizwa Kikao cha Seneti kinaendelea Kumbe Kenya Spika haogopwi bali anaheshimiwa KESI inaendelea 🐼
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom