Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chagueni viongozi wanaoweza kuwapigania ili kuhakikisha mnalipwa Stahili zenu zote baada ya nyumba zenu kupigwa x miaka lundo iliyopita. Haiwezekani muendelee kukumbatia Viongozi matapeli na...
3 Reactions
11 Replies
348 Views
DR- GODBLESS CHARLES HAS WON HIS -APPEAL- AGAINST MEDICAL- COUNCIL- OF TANGANYIKA- (- MCT- )- This is meant to inform you all that- -yesterday, on 30th April 2014 -at High court of Tanzania...
7 Reactions
45 Replies
14K Views
Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu...
3 Reactions
7 Replies
339 Views
Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM...
1 Reactions
4 Replies
380 Views
Unapokwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura hapaswi kutaja chama chako cha siasa na huu sio wakati wa kampeni. Ni makosa makubwa kwa vyama vya siasa kuwa wasimamizi kwenye zoezi la...
6 Reactions
17 Replies
764 Views
Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je! Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Chadema ni lini watapata funzo kuwa wananchi hawataki upuuzi wa maandamano basi wameshindwa kutumia njia mbadala kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha wanaBwaza upuuzi kila kukicha usio na...
4 Reactions
35 Replies
755 Views
John Mnyika, ameongea na vyombo vya habari leo.. Kama kawaida ya chama chake kasambaza uongo, upotoshaji na visingizio. Alisema atatoa hoja tatu lakini ametoa zaidi. Tutazipitia hapa na kuonyesha...
0 Reactions
4 Replies
288 Views
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh...
1 Reactions
2 Replies
517 Views
..huyu ndiye Shekhe Mwaipopo. ..hapo chini ameeleza msimamo na mtizamo wake kuhusu kilichomtokea Tundu Lissu. ..huyu ni kiongozi wa kwanza wa Dini kuzungumzia suala la Lissu kwa undani kiasi...
2 Reactions
0 Replies
219 Views
Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Ney wa Mitego, Msanii anayetamba na Kibao chake cha "NITASEMA"kinachopinga Utekaji na Mauaji, kilichosambaa kote duniani, Leo amejitokeza kujiandikisha ili aweze kuchagua kiongozi wa Mtaa wake...
4 Reactions
10 Replies
596 Views
DC MUSSA KILAKALA - TANZANIA NI BABA WA DEMOKRASIA, VIONGOZI WANAPATIKANA KWA RIDHAA YA WANANCHI "Hali ya Wilaya ya Morogoro ni shwari, wananchi wengi wanaendelea kujitokeza kwaajili ya...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Juma pili hii tar 20.10.2025, zoezi la kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa na vijiji Tanzania, litahitimishwa rasmi nchi nzima. Kama mzalendo na...
4 Reactions
63 Replies
716 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na Rais wa Umoja wa Mameya Nchini Comoro Mhe. Nassuf Ahmed Abdallah ambaye amemueleza kuwa wangependa kuona ushirikiano wa miji ya...
0 Reactions
4 Replies
340 Views
Hali ya kisiasa katika jimbo la Moshi mjini inazidi kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani huku mmoja wa makada wa chama hicho akidaiwa kuendesha siasa zake kwa kutumia jina la...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika...
1 Reactions
5 Replies
422 Views
Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
466 Views
Back
Top Bottom