Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha.
Ndugu zangu kwani shida ni nini?
Chadema baada ya kufeli zoezi zima la uandikishaji, wameamua kuja na mkakati wa kuandika vikaratasi vyenye majina na kuwalipa watu waende vituoni kujifanya wameleta hayo majina nje ya utaratibu...
CCM na serikali yake hawapaswi kutulazimisha kujiandikisha katika uchaguzi huu mdogo badala yake mnapaswa kujiuliza kwanini watanzania hawataki kupiga kura
Ni wazi kwamba wananchi walio...
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja...
Nawasalimu Waungwana wa JF,
Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa...
Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya...
MAXIMILIAN LUDOVICK "Kaka Lema, hebu BASI kubalini kufundwa kwa HISTORIA, NADHARIA na NYAKATI. Maandamano haya wakati huu kwa WATANZANIA hawa wasiojitambua, ni UPOTEVU BURE wa MUDA, na...
Wanaoandikisha wanafunzi na wananchi nje ya vituo rasmi vya kupiga kura wanalipwa na nani? Wametumwa na nani? Kwa malengo gani? Je, wanaoshiriki mauaji kwenye siasa wananufaikaje?
Tumeona clip ya...
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo...
KATIBU TAWALA SIMIYU AWAHIMIZA WATUMISHI TANESCO KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi.Prisca Joseph Kayombo amewahimiza...
Hakika hayati Lowassa alikuwa ni Mwanasiasa aliyekomaa sana
Alimuuliza swali moja tu Dr Mwakyembe
Lowassa: Harrison hivi ulishindwa kuniita kwenye Kamati Yako upate kusikiliza maelezo ya upande...
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.
Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia...
Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu...
Ishara kumi na mbili za dunia zimeunganishwa katika makundi manne (Moto, Ardhi, Hewa na Maji)
Kwakuwa tunataka tuijue nchi yetu zaidi kwa leo sitaongelea kwa undani zaidi hizo ishara Kumi na...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka Mawakala 666 katika Vituo 666 vya kuandikisha Wapigakura huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiweka Mawakala 55.
Msimamizi wa Uchaguzi katika...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake...
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame...
Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya...
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya chaguzi nchini Tanzania.
Akizungumza katika mkutano wa...
Nyerere anatumika kwa kiki za kisiasa na familia yake haifurahishwi na siasa kwenye swala la kitaifa. Sherehe za Nyerere zifanyike alikotokea Mara au kama kama ni kwa mzunguko basi zifanyike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.