Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa...
Watanzania wengi (Waafrika) mindset zetu kuna namna bado haziko huru yaani bado zinatawaliwa na watu wachache hasa mataifa yaliyoendelea. Inawezekana nitakuwa natumia lugha ngumu kama nikisema...
Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, ni wananchi wachache sana ambao wamejitokeza kwenda kujiandikisha. Nilipojaribu kuwahamasisha wakajiandikishe...
Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
Mh Abdi ni shahidi wa Bunge la Kenya lililodhamiria kumtoa Madarakani Naibu Rais mh Gachagua
Abdi ni Afisa wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa
Alhaj Abdi hakuwahi kuitwa na Bunge la Kenya kwenye...
Wakuu,
Unaweza kuona ni kwa namna CCM wamepanga kutibua na kuharibu process nzima ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwalimu amewatoa wanafunzi madarasani kusoma, anawaongoza waende...
Yaani hukujiandikisha na hukupiga kura halafu ulalamike umeibiwa, ukiulizwa unajibu umeibiwa kura,
Wakiitafuta hiyo kura yako hata hawaioni.
Tuacheni dharau, twendeni tujiandikishe ili tuwe na pa...
CCM imejipanga kukalia viti Kwa hila, hata kumwaga damu na kupoteza watu kama tulivyo shuhudia Mwaka huu.
Ni ujinga wa Hali ya juu kwenda kupanga foleni, ujiandikishe, upige kura wakati CCM...
Wakuu,
Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo...
MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU
Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa concern kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba wanafunzi wanatolewa madarasani ili wakaandikishwe kwenye daftari, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amejitokeza...
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi...
Kupitia vyanzo vyangu vya uhakika, naweka hapa namna CCM inavyoingilia kuchafua zoezi la uandikishaji daftari la Wakazi watakaopiga kura hapo Novemba 2024 kuwachagua viongozi wa Mitaa, Vijiji na...
Kuna njia kuu mbili za kujifunza na kurekebisha mambo yako'; kujifunza kwa kutumia makosa yako mwenyewe au kujifunza kwa kutumia makosa ya wengine.
Kenya wanataka kumuondoa Makamu wa Rais wao Mh...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza rasmi tarehe ya ukomo wa viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa. Hatua hii inakuja kabla...
Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..
Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza...
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza.
Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Benki ya NMB na watumishi wengine wa Sekta binafsi Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili...
Wakuu,
Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.