Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu salama? Zoezi la kujiandikisha limezinduliwa jana Oktoba 11 na Rais Samia, meona nianzishe uzi huu ili tushee picha na video za maeneo ambayo tunaenda kujiandikisha kupiga kura. Kuona...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
UFAFANUZI KUHUSU HALI YA AJIRA ZA WATUMISHI KAΤΙΚΑ BANDARI YA DAR ES SALAAM Ijumaa 22 Machi, 2024 DAR ES SALAAM Jumatano tarehe 20 Machi, 2024 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...
8 Reactions
130 Replies
12K Views
Spika mstaafu wa Bunge la JMT Mzee Msekwa amesema tofauti na ilivyo Sasa mwalimu Nyerere msafara wake ulikuwa na Magari 3 tu na hakupenda mambo ya ving'ora Lilikuwepo gari la mbele, Katikati gari...
11 Reactions
97 Replies
2K Views
Wakuu Mambo ni Mengi mno na Muda ni Mchache, lakini niwaombe sana kutegea sikio Mkutano huu, Hakika mtapigwa na Bumbuwazi. Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika atazungumza na watanzania kupitia...
2 Reactions
11 Replies
560 Views
Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii...
2 Reactions
6 Replies
580 Views
Ni kama wananchi wamesusia hili zoezi linaloendelea kwa sasa, la kujiandikisa katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Swali hapa la kujiuliza...
3 Reactions
11 Replies
718 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana, watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
185 Replies
5K Views
Mtindo unafanywa sasa wa kuwaandikisha watoto wa shule waliochini ya miaka 18 ni dhahiri ni njama za kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa manufaa ya chama tawala. Hakuna chama cha upinzani...
5 Reactions
8 Replies
277 Views
Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu. OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo...
1 Reactions
6 Replies
497 Views
Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani. Watu...
0 Reactions
3 Replies
178 Views
Hii hali ya kujidanganya kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi kunatupotezea muda wa kupata demokrasia halisi ya vyama vingi, mimi nishauri hivi vyama vilivyopo vingekubaliana kuweka mpira...
1 Reactions
11 Replies
403 Views
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini...
7 Reactions
66 Replies
12K Views
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye...
42 Reactions
228 Replies
9K Views
Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndugu Lema, nakusabahi Miaka michache iliyopita, wakati ukiwa Canada, na Lissu akiwa ubelgiji mlikuwa mkitoa elimu nzito kuhusu demokrasia na mambo ya uchaguzi. Miongoni mwq elimu nzito mlizokuwa...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Mnec Salim ASAS amesema Mchungaji msigwa ana Sifa za kuongoza CCM Source: Ukurasa X wa Mchungaji msigwa Baadae Mlale Unono 😀🌹
6 Reactions
28 Replies
970 Views
Back
Top Bottom