Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka...
Kuna zoezi linaloendelea kwa ajili ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura wa Serikali za Mitaa.
Kila mahali kuna malalamiko dhidi ya waandikishaji wa zoezi hili wakikipendelea Chama fulani...
Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es...
1. Hakuna uraia pacha
2. Hakuna mgombea binafsi
3. Hakuna dhamana kwa baadhi ya tuhuma
4. Hakuna kupinga matokeo mahakamani baada ya uchaguzi.
5. Chama kina nguvu sawa na serikali
6. Rais...
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?
Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa...
Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi.
Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi.
Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi...
Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55...
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.
Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho...
Wakuu,
Nikiwa napiga round mbili tatu mtandaoni nimekutana na video hii ambapo wanafunzi waliotajwa kutokea shule ya sekondari wakiwa wanapangishwa mstari wakajiandikishe kupiga kura.
Mbaya...
CCM ikiacha kukumbatia mawaziri mizigo wanaotangaza hadharani kwamba tunaibaga kura ndani ya miaka kumi CCM itakuwa haikamati.Kiongozi legelege tusimkumbatie bali tumtoe .
Leo kila hospitali ya...
Mtu mzima kwenda kupiga foleni kujiqndikisha wakati unatakiwa utafute hela hii nayo ni shida.ukimwengu wa kidigitali jamani.
Tehama watengeneze namna mtu anaweza kujiqndikisha online na kuoiga...
Aisha Madoga, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, amekosoa uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Mkazi katika baadhi ya vituo, akisema si sahihi kuwaandikisha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa...
Hao Watatu ndio wameweza kufikia viwango Vya Juu duniani
Na kwa maana hiyo Dr Tulia ndiye atakuwa na Sifa stahiki kuwa Rais wa JMT kunako 2030
Mbarikiwe sana 😂
Nitakuwa na maswali haya kwenye pingamizi langu huko akhera
Mwizi wa kura hastahili jehanamu?
Je mwizi wa kodi za wanachi, hasitahili Jehanamu?
Mdanganyaifu wa wananchi kuwa ataletea maendeleo...
Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako...
Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo.
Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.