Kuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa...
MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na...
https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share
Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya...
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka
Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa...
Let's now be serious from jokes, at least for a moment.
Bila shaka kila mmoja anafahamu kuwa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja mwezi novemba 2024.
Baada ya hamasa kubwa kupitia vyombo...
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya...
https://www.youtube.com/watch?v=LTs471j6rZI
TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO
Ndugu...
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi...
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya...
Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha...
kuelekea uchaguzi wa wa RAIS WA TLS , kumekuwa na kambi mbili.
CCM wamemuweka JOHN SEKA , CHADEMA wamemuweka DR Nshala na NGWILIMI YUPO FREE hana chama
*SIFA 10 ZA CHUMA KILICHOPO*
1. Mimi...
Mwalimu Mwakasege amesema dalili zote zinaonyesha ule Mwisho umekaribia na hakunaga jiwe litakalisalia Juu ya jiwe
Mwalimu Mwakasege amesema Waumini wameshahubiriwa vya kutosha na kilichobaki ni...
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana...
Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu
Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura.
Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini
Serikali...
WAZIRI WA ULINZI NA JKT ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI MAGU
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 12 Octoba 2024, ameungana na...
KUPIGA NA KUPIGIWA KURA NI HAKI YAKO
KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI NI HAKI YA URAIA
Tumeadhimisha kumkumbuka Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Ni vyema Sasa kupitia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.