Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja...
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba...
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa...
Ninaandika haya kwa hisia za kina kuhusu Muungano wa Tanzania, hasa katika muktadha wa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere. Kutokana na muktadha wa kisiasa na kijamii wa sasa, ninahisi kuwa siwezi...
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa...
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu.
Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi...
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.
Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika...
“Tusibeze maendeleo tuliyoyapata mpaka leo bila shaka wale wanaoweza kubeza leo waende waka waulize mama zao. Miaka 60 iliyopita maisha hayakuwa kama ya leo hata miaka 50 ninayoifahamu mimi...
Naangalia kinachoendelea Mwanza ni kutumtukuza rais aliyepo madarakani na si kumkumbuka Mwalimu Nyerere.
Naona pia gharama kubwa itakuwa imetumika kusomba watu, wasanii na viongozi wakubwa wote...
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, CP Thobias Andengenye anapenda kuwaarifu wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kesho tarehe 19.09.2020...
Yaani kiongozi akikumbuka wa kwao inakuwa nongwa eti Mkabila
Hii siyo sawa kabisa na Ndio sababu sisi wakongwe Siasani tulimpongeza sana Freeman Mbowe alipojenga ghorofa kule Maporini Machame...
Mchungaji Lusekelo aka Mzee wa Upako amesema Wachagga ni Watu wanaostahili kuheshimiwa kwenye Siasa za Tanzania kwani wamepata Maendeleo kitambo sana
Mchungaji Lusekelo amesema Kilimanjaro ndio...
Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa...
Katika Jimbo la Hai, hali ya vituo vya kuandikisha wapiga kura ni ya kutatanisha, hasa kutokana na ukosefu wa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hali hii imezua maswali mengi kuhusu sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.