Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Binafsi nitatumia haki yangu kutokupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kuna watu hata sura moja ya katiba ya JMT hawajawahi kuisoma lakini wanakwenda kupiga kura...
11 Reactions
42 Replies
834 Views
Wakuu, TAMISEMI wanatarajia kufanya mkutano saa tano hii Oktoba 15, 2024 kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
2 Reactions
6 Replies
275 Views
Natoa tu tahadhari Kwa wale wenye ndugu zao Iran, Lebanon na Syria fanyeni jitihada muwarudishe Nyumbani Nadhani nimeeleweka Mlale kwa mang'amung'amu 🐼
2 Reactions
14 Replies
578 Views
Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za...
3 Reactions
10 Replies
465 Views
Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA. Mkakati huu...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania , Hakuna lugha nyingine wala maneno mengine wala kauli nyingine unayoweza kutamka au kusema nje ya kauli ya kuwa RAIS Samia Ni chaguo la Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni ngumu...
6 Reactions
236 Replies
3K Views
Kiwanda hicho ambacho ni mali ya serikali kwa sasa hakifanyi kazi kimeuzwa kwa thamani ya shilingi bilioni 3 wakati thamani halisi ya kiwanda hicho ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 157...
1 Reactions
3 Replies
389 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Hii imenihsngaa na haijawahi kutokea, nahisi huko mbele watoto shule watavaa picha ya samia.
11 Reactions
41 Replies
2K Views
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu...
6 Reactions
23 Replies
699 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi...
16 Reactions
92 Replies
13K Views
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania. Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania...
11 Reactions
117 Replies
2K Views
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kanda ya kusini kuchele Ndanda kuchele. CCM kwani imekuwaje? Hela izunguke mikoa yote Madalali wa korosho waondoke. Kusini tumeona #MAMA SAMIA KAUPIGA MWINGI KAMA ALIVYOUPIGA UNCLE 2017/2018...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Hakika Hii Nchi ina Viongozi wa Ajabu sana.Viongozi wasiojali Matakwa ya Wananchi. Viongozi wasio na huruma na Kodi za Masikini Viongozi Wanaishi Maisha ya Anasa kuliko walipa Kodi. Wabunge...
2 Reactions
5 Replies
529 Views
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa...
21 Reactions
125 Replies
3K Views
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Imebidi Seneti wapige kura kuamua 2/3 ( two third) ya Wabunge 47 ni Wabunge wangapi Kati ya 31 au 32 Waliosema 32 wakashinda Source: Citizen tv Wewe inasemaje?!🐼 Mlale Unono 😀😀🌹
2 Reactions
5 Replies
313 Views
Muhtasari wa taarifa ya mbio za Mwenge 2024 imejaa ukweli mwingi. Wamejitahidi kubainisha kero na mahitaji ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali. Sikusikia kero za wakazi.wa Dar ila kwa mujibu wa...
1 Reactions
4 Replies
589 Views
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu...
4 Reactions
16 Replies
550 Views
Back
Top Bottom