Kuna figusi zinaendelea kila mahali tunapoelekea uchaguzi serikali za mitaa.
Msikilize Shekhe Bashiri Abdalla Mwenyekiti wa Chadema Tarime mjini akielezea kinachoendelea.
PIA SOMA
- LGE2024 -...
1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu...
Huyu Mtanzania Dr Veronica ambaye ni Financial Advisor yuko vizuri kwenye maswala ya kodi Marekani
TRA na wafanya biashara wenye biashara Marekani Mtumieni mtanzania Dr.Veronika kwa ushauri wa...
MAMA Maria Nyerere na familia yake hawakuhudhuria Sherehe ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ilizofanyika Bariadi mkoani Simiyu jana...
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema...
Wakuu,
Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania.
Kwenye maadhimisho...
Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap?
Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine.
Kwa ujumla aliacha...
Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa...
Hakuna chama cha wanasheria hapa, heshima imeshuka sana katika taasisi hii.
Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha siasa na mm ntafurahi sana huyo Mwabukusi mnayedhani ataleta mabadiliko awe Rais wa...
Salaam, Shalom!!
Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama...
Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye...
Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama...
Wanabodi,
Wale wenye access, watch ITV Now, Baba wa Taifa, Mlm JK Nyerere anatoa maoni yake juu ya sifa za rais tunayemtaka!.
Mwalimu aliyazungumza hayo, 1995 katika hoteli ya Kilimanjaro ( I...
Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa...
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50...
Mwenye habari hizi aziweke hapa kuhusu majambazi Arusha wakenya waliyo pora Banki Moshi vitendea kazi vimetoka Lugalo Jeshini na kigogo wa jeshi anaye supply akamatwa ,kwa set-up ya jeshi la...
Watu bado wanatafuna pesa tu za serikali? Posho zimerudi, semina zimerudi, Shimiwi imerudi, washa zimerudi, mikutano imerudi, kongomano zimerudi, overtime zimerudi, fulana na kofia za semina...
Wanabodi,
Niko hapa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, ambapo Bodi ya Wadhamini ya Kuwaenzi Waasisi wa Taifa hili, Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abedi Amani Karume inazinduliwa...
Ikiwa leo ni siku tunakumbuka kifo cha Baba wa Taifa hili hatuna budi kumuenzi kwa kuyafuata yale aliyokuwa akiyapigania
1. Kupambana na Rushwa na Ufisadi (Uhusani kwenye uchaguzi tuwakatae...
Kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 tangu kifo cha Mwl Nyerere uwanja wa CCM Kilumba Mwanza.
Prof. Lipumba pamoja na viongozi wengine wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.