Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki...
Kumekuwa na matukio ya Utekaji, utesaji na mauaji katika Nchi hii, na hakuna hatua zinazochukuliwa kukomesha matukio haya.
Mimi nadhani kwa kuanzia tuwapeleke ICC baadhi ya wenye dhamana ya...
Tunapoelekea katika mwezi wa kumbukizi ya Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni vyema kutafakari kila neno alilowahi kulitoa.
Katika moja ya hotuba zake kwa wanahabari aliwahi...
Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa.
Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri...
Hii itapelekea wafanyabiashara ikiwemo wenye mitaji midogo kumiliki kifaa hiki na kukitumia. Nachukua mfano wa "lipa namba" ambapo wafanyabiashara wengi wameanza kuichangamkia hata bila promotion...
Wanabodi,
Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa...
Nadhani Komredi Lucas Mwashambwa unaweza kutusaidia hapo Chunya kama Mabasi ya Msigwa Express DAR - Chunya ni ya Mchungaji Msigwa ama la
Ahsante sana 😃
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli.
Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki...
Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika.
Hizi...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, katika Kanisa la Mt. Francis Xavier, Nyakahoja, Mkoa wa...
Wanabodi,
Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini...
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana...
Wanabodi,
So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais...
Nauliza hivyo kwa sababu ni kama sasa kila kitu kinataka kubadilishwa Jina na kupewa Jina la Rais, Mwanamboka naye kaja na Samia Fashion, Sasa jamani hivi kweli ni sawa mambo haya?
TCRA nao...
Wanabodi,
Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa...
NINAMFUATILIA kwa karibu sana Mwalimu Jr. na kwa hakika naona kama vile mawazo yake ni ya Al-Marhum baba wa Taifa, Mwalimu J. K. Nyerere wajina wake.
Tueleze basi mwalimu jr. ni njia ipi ya...
Nashauri Rais wetu mpendwa angepumzika by 2025 baada ya kumaliza utawala wa mpito aje Rais mwengine by 2025/2030.
Kulingana na ukweli kwamba Rais wetu ametoka katika jamii zinazokumbatia Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.