1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani Mhe. Subira Mgalu azungumza na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kerege iliyopo Bagamoyo Pwani tarehe 12 Oktoba, 2024.
Mkutano huo wenye lengo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kusalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli Mkoani Mwanza...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa...
Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival.
Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi.
Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
Tumeona ni vema tuje tena humu kukanusha huu upotoshaji unaendelea kwenye kinachoitwa LandRover Festival huko Arusha.
Hii ni kwa sababu gari alilotumia Mwl Nyerere kuipambania Tanganyika haikuwa...
Rais Samia amemteua Bw. Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Kabla ya Uteuzi Kiiza alikuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi...
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki...
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi...
Wakuu salam,
Leo nilipanga kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, na kweli nimefanya hivyo.
Ukienda kujiandikisha unakuta mwandikishaji yuko na daftari ambako unaulizwa...
Kwa hakika mmeupokea na kuitikia vema wito na wa Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan wa kujitokeza kwa wingi, katika zoezi la kujiandikisha kwajili ya uchaguzi wa serika za...
Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili...
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au...
Nauliza tu…
Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ.
Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.
Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.
Tumeona jinsi wanavyobeba...
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke...
Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo Jumamosi Oktoba 12, 2024 ambapo atatembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya...
Makamba amwinda Mengi
Ahoji safari za mikoani
Mwandishi Wetu Aprili 22, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
HUKU kukiwa na shinikizo la kutaka kumuondoa katika nafasi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.