Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi...
KADA nguli wa CCM jijini DSM Komredi Steve Nyerere ameshangazwa na kitendo cha Chadema kutotuma rambirambi kwenye Msiba wa Mtangazaji Maarufu nchini Dida wa Wasafi FM
Nyerere amesema ni vema...
Kwanza nakusalimia sana Mhe Waziri wa Kilimo.
Nina mengi sana ya kusema lkn sitak nikuchoshe.
Kubwa zaidi nataka nikwambie kuwa leo Jumapili Wakulima wa korosho Lindi wameuza korosho zao kilo...
Katika kupitia mitandao mbalimbali,nimekuta mmoja wa viongozi wakubwa wa dini aliekuwepo Simiyu mpaka sasa akihudhuria Maulid.
Lakini kilichonishangaza alipokuwa ktk ofisi ya Mkuu wa mkoa alikuwa...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania...
Ukiwasikiliza watu walioko vyama mbadala (napenda hili jina alilolibuni Mbatia) wakiwa kwenye majukwaa yao ya kisiasa bila shaka utakubaliana na mimi kuwa ni watu makini na wenye kujua kujenga...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza...
Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani...
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe...
Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi
PIA...
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha...
Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili...
Mchungaji Agnes Mangala wa KKKT Usharika wa Highlands ametoa wito Kwa Wananchi wote kujiandikisha Kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa
Mchungaji Agnes Mangala amesema kila mwenye umri wa...
Siasa za Tanzania zimekuwa za ajabu sana, yaani kiongozi mkuu analazimishiwa umati ili aonekane amejaza watu na ipeleke picha kwamba anakubalika kumbe kiuhalisia ni uongo mtupu.
Jiji la Mwanza...
Wote mashahidi mmewahi kusikia kuna magari yameshikwa pamoja na wahamihaji haramu kadhaa lakini mwisho wa siku mmiliki wa gari hatajwi wala husikii mmiliki kachukuliwa hatua gani. Maana yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.