Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa...
Leo tujikumbushe Waheshimiwa Mawaziri waliowahi kutumbuliwa kwa fedheha ikiwemo tuhuma za (rushwa, udhalilishaji, ulevi, kutumia madaraka vibaya).
1. Laigwanani Mkuu (tuhuma za Rushwa RICHMOND) -...
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana.
Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura.
Ukimya wa Watanzania...
Yu wapi Nape na January?!
Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.
Kiko wapi hatimaye!
Leo hii Makonda anakula kuku kwa...
Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika.
Sasa hii mbinu ya jk...
Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15.
Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua...
Natambua joto la uchaguzi limepanda sana huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Natambua wazi kwamba njia sahihi ya kumpumbaza maskini nikumpa pombe na chakula.
Natambua pia kwamba pombe...
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila...
Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa...
Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu...
Vijana 2,100 wakiwemo 32 wa kutoka Musoma Vijijini, walianza matembezi ya miguu kutokea Butiama hadi Mwanza siku ya Jumatano, 9.10.2024.
Matembezi haya yanafuata nyayo za matembezi ya Baba wa...
Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia...
Chadema wanishawishi, maana naona iwe jua iwe mvua ccm itashinda. Sasa waniashawishi.
1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa?
2. Watazilinda kura zao?
PIA SOMA
- LGE2024 - CHADEMA ikikomaa...
Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana?
Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo...
Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa...
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.