Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ampandisha cheo cha Meja Jenerali, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Charles Mbuge.
Mkuu wa...
Habari JF,
Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura...
Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya...
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:
1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.
2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza...
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources.
Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu.
Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto...
RC Chalamila anamudu mikoa midogo kama Lindi au Singida ila DSM imemzidi pakubwa Sana
Makonda akiwa RC alisuruhisha mgomo wa mabasi ya mikoani pale Ubungo na hadi leo hali ni shwari
Makonda...
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
Habari
Ninacho hisi watu wengi kutokujiandikisha kwenye Chaguzi za Serekali za Mitaa pamoja na kutumika hamasa nyingi
Watu wengi walikuwa wanajiandikisha ili wapate Kadi ya kupiga kura iwe kama...
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu...
Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge.
Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi...
Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli...
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia
Mchungaji Msigwa...
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM
Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari...
Huyu jamaa, naona bado hajapona vizuri.
Halafu mbona kakonda sana?
Wazee wa ramli chonganishi, vibuyu vinasemaje huko?
====
Salaam Ndugu zangu,
Kwanza namshukuru sana Mungu aliye hai kwa...
Shukrani na Tafakuri
Leo ni miaka sita: maisha yangu—na familia yangu—vilisimama ghafla! Hofu na sintofahamu nyingi zilitugubika. Lakini Alhamdulillah, Mungu Mwenye Enzi, alikuwa na mpango mkubwa...
WAZIRI KOMBO AHIMIZA USHIRIKIANO NA NCHI MARAFIKI UJIKITE KATIKA BIASHARA
Tanzania imesisitiza umuhimu wa kukuza ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi marafiki, ikiamini kuwa hiyo ndiyo...
Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata...
Wakuu,
Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike...
Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.