Dear International Community,
Greetings from Tanzania, I am certain Many of you know about/of us considering the headlines we have had for the past 2 years..some may say 2 and 1/2..But we are not...
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.
Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au...
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba, Uongozi ni Kuongoza Njia, hii ina maana kwamba unapokuwa kiongozi unapaswa kuwaongoza waliokupa dhamana hiyo.
Tofauti na Viongozi wengi...
Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia...
TPA wanakwepa gaharama za kuishatakiwa lakini kiukweli hakunasehemu DP World anakwenda kuajiri unqualified staffs kwa mujibu wa masharti yake. Labda kama wanakwenda kuwa vibarua kwenye kampuni...
Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024.
Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata...
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda...
Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga - Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025.
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 11 , 2024 na Waziri wa...
Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu.
Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk
Pesa au fedha ni ujanja...
Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Amesisitiza umuhimu...
Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia.
Ni bora ijulikane vitajwe...
Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.
Soma Pia:
Waziri Jenista...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na...
WIZARA YA MAJI KUANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA GRIDI YA TAIFA YA MAJI - WAZIRI AWESO
Abainisha kuwa wizara imefanikiwa kukwamua miradi 157 kati ya miradi 177 ya maji vijijini iliyokuwa na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa...
Huo ni ushauri kwenu CHADEMA tumieni Mbinu za kisayansi vinginevyo tutawasahau soon
Mlale Unono 😀
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa...
Heshima kwenu wanaJF .
Uzi huu tachukiza wengi, ambao hawajawahi naleta thread za namna hii.
Jumapili iliyopita kabla ya Jumapili ya jana, ulifanyika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini mjini...
Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea?
Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.