Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Hawa Wajumbe...
1 Reactions
3 Replies
165 Views
Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo? Pia Wakenya wenyewe...
22 Reactions
107 Replies
3K Views
Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea... Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly...
2 Reactions
3 Replies
238 Views
Natoa onyo kwa Taasisi yoyote ama mtu yeyote katika nchi hii , kuacha mara moja kuvunja katiba ya nchi , kwa kuwahusisha mabalozi wa mashina wa ccm kuwa kiambatanisho cha Nyaraka yoyote ndani...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Pamoja na Kwamba Shujaa Magufuli hayupo lakini kivuli chake bado kinawatesa sana Chadema Tunapita Mlima Nyang'oro kuelekea Dodoma kijana mmoja wa Bavicha anasema Shujaa Magufuli akiwa Waziri wa...
3 Reactions
7 Replies
203 Views
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata. Ila tumeoma wasanii...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii imekaaje wakuu? Soma Pia: CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini
4 Reactions
22 Replies
996 Views
Huu ndio ukweli hasa watanzania wengi sana hawajajiunga na CCM kwa sababu wanaielewa au kuipenda ila ni kwa kuwa ccm inashikilia fursa muhimu za kugawana vyeo na madalaka. Kwa hiyo niwaonye wale...
29 Reactions
95 Replies
1K Views
Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya...
1 Reactions
3 Replies
639 Views
Katika kipindi cha miaka mitatu, sekta ya afya nchini Tanzania imepambwa na mabadiliko makubwa yanayoakisi dhamira thabiti ya Rais Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi. Hii ni safari...
0 Reactions
6 Replies
421 Views
Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama. Wanachama walichapana makonde na kuchaniana...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote...
5 Reactions
17 Replies
734 Views
Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Wanabodi, Katika kipindi hiki, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, uchaguzi utakaotupa fursa kama wananchi kutafakari masuala mbalimbali yanayotuhusu kisiasa na kimaendeleo, hatuna budi kupasua...
2 Reactions
4 Replies
388 Views
Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya...
2 Reactions
134 Replies
2K Views
Back
Top Bottom