Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika...
18 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini...
2 Reactions
52 Replies
1K Views
"Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na...
1 Reactions
9 Replies
664 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland, Mhe. Alexander Stubb yaliyofanyika kwenye makazi ya...
3 Reactions
1 Replies
347 Views
..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa, Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya...
8 Reactions
29 Replies
911 Views
Sijawahi Kabisa kuwasikia Chadema - Bavicha wakishiriki matukio ya Kumbukizi la kumuenzi baba wa taifa Mwalimu Nyerere Mara zote tunawaona UVCCM peke yao wakielekea Butiama kaburini kwa Mwenye...
0 Reactions
13 Replies
298 Views
Ni maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba. Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa. Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanabodi leò mida ya jioni wakazi wa jiji la Dodoma wamepigwa butwaa baada kumuona Spika Mstaafu Job Ndugai akiendesha gari mwenyewe. Spika alionekana eneo la Makulu akiweka mafuta kituo cha...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Wanabodi Tarehe 10 ya October kila mwaka, ni siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo Duniani. Kwa Tanzania kwa mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu Tanzania, LHRC kinazungumza na...
2 Reactions
29 Replies
904 Views
P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
“Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
0 Reactions
17 Replies
820 Views
Nimekuwa mwangalifu sana kujadili maswala ya imani hasa imani ya mtu mwingine, lakini ujadiliji wangu umekuwa ukigusa na kusherehesha imani yangu ya kiafrika. Nalisema hili kwa moyo wangu wa dhati...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma. Kazi...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Oktoba 10.2024, Dar es Salaam amesema kuwa mawakala wanalazimishwa kufika kwenye ofisi za Halmashauri husika ili...
1 Reactions
12 Replies
603 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwezi kuzuia Upendo wa watu kwa CCM,huwezi kuzuia mahaba waliyonayo watanzania kwa CCM,huwezi kuficha hisia za upendo walizonazo watanzania kwa CCM.hiki chama kinapendwa...
1 Reactions
69 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jackob, baada ya kuachiliwa kwa Dhamana kutoka selo alikoshikiliwa kwa siku 20, amekuja na Mpango wa kuwasaidia Mahabusu na Wafungwa wenzake...
12 Reactions
45 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifwamba, ametoa onyo kali kwa wanachama wa CCM ambao watakuwa kikwazo cha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Kwa hali ya siasa za Mbeya mjini zinavyoendelea kwa sasa hakika na bila kificho Tulia anakabiliwa na hali isiyoegemea upande wake kisiasa. Mikutano yake mingi kwa mfano ili ifanikiwe ni takrima...
8 Reactions
30 Replies
669 Views
Back
Top Bottom