Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, Mhe. Deogratius Ndejembi amejiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema...
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwamba sana Kabisa, ameonekana kwenye kituo cha kujiandikisha huko kijijini Nshala kwenye Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro.
Amejiandikisha kwenye Daftari la...
Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM...
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.
Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha...
Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye...
Uchambuzi wa Kijinsia wa Taasisi ya FES kuhusu Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2020, umebainisha kuwa Uteuzi wa wagombea ndani ya Vyama vya siasa nchini Tanzania unakabiliwa...
Wakuu,
Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
======
Tumeongozwa na Rais Samia...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ujumbe ulioenea katika mitandao ya kijamii, hasa kutoka kwa mwanaharakati Maria Sarungi, ukimlenga Waziri Rajab Salum, msaidizi wa Rais Samia Suluhu...
Kuna mtu asema kuagiza gari Japani ni Yen za Japani na china kuagiza chochote ni Yuan za China sio lazima dola je ni kweli?
Kama kweli ni habari njema sababu dola zimeadimika
Anayejua...
A Vision for Academic Excellence
The Institute of Finance and Management (IFM) has a rich history of providing quality education in the field of finance. As the institute has matured and expanded...
Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika.
Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia...
1. Arrival lounge inajaa kupitiliza,
2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi,
3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege...
Huyu bwana ni mtu ambae hatazami wala hawazi kuwa katika maisha kuna leo na kesho, na pia hawazi kuwa cheo ni dhamana na kwamba madaraka aliyonayo ipo siku atayaacha apende asipende.
Bwana huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.