Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila...
Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.
Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.
Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano...
Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imependekeza kwa Serikali kupitia upya sheria inayotoa adhabu ya kunyongwa kwa kutenga muda maalumu wa kutekelezwa na ukipita, adhabu hiyo igeuke moja...
Wanabodi,
Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa...
Akina mama Morogoro waandamana na madumu matupu wakidai maji
Wataka Mama Samia awasaidie
Kiongozi wa maji asema hajui kama wana kero
Waziri wa maji upo na Wizara ya Maji mpo?
Pia soma
Waziri...
Mioyo ya nyama imeumizwa na kusikitishwa mno na kifo cha Binti mwenye ualbino Asimwe aliyeuawa kikatili na viungo vyake kunyofolewa na kila kona tunasikia maoni ya watu wakionesha kuumizwa sana...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo.
Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR
Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala...
Salaam,
Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo.
Maadhimisho ya kitaifa yameandaliwa na Mtandao wa Mashirika ya Utetezi wa Haki za Binaadamu kwa nchi za Kusini mwa Afrika tawi la...
Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba
Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea
Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri...
Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la...
Hivi majuzi nilikutana na mtu mmoja a kaniambia anaingojea Tanzania Bora
Moyo wangu ukasikitika Sana kusikia hiyo kauli. Tanzania Bora IPO sasa Tanzania iliyojaa Amani furaha na utulivu...
https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza...
Hata kwa Usimamizi huu huu mbovu (Japo siufagilii), Chadema inaweza kuibuka na ushindi wa kishindo ikiwa Wananchi wataamua kukataa dhuluma.
Wakati wa Kikwete ambaye alikuwa Rais, Amiri Jeshi na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 18 kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji wa majisafi katika kata ya Mbezi ambapo wakazi takribani 144,000 ikiwemo...
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika...
Shirika la Utangazaji Nchini Comoro (ORTC) limeelezea utayari wake katika kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Taifa na la Zanzibar ili kuboresha mahusiano ya kihistoria na kuendeleza lugha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.