Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika...
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia...
Wilaya ya Bahi, iliyoko mkoani Dodoma, imeibuka kuwa kielelezo bora cha mafanikio katika sekta ya elimu nchini Tanzania.
Hayo yamebainika katika taarifa ya mkuu wa wilaya na serikali ya wilaya...
Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa.
Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama...
Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali...
Unaweza shikwa hasira kwa mbinu zilezile zitumikazo kuwahadaa wananchi ila kila ukikumhuka wananchi wanadanganyika kama watoto wadogo kwa greda moja linalopita kwenye barabara za mitaani kiba...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu.
Sisi wengine kwenye mambo...
Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,
1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara...
Akiongea asubuhi kwenye uchambuzi wa gazeti la Raia Mwema bwana Hando amesema ndani ya CCM uchaguzi mkuu 2020 kulikuwa na mizengwe mingi sana katika kuwapitisha madiwani na wabunge jambo...
Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, CHADEMA kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja...
Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu...
08 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa...
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa
Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya...
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan...
Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni...
Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili?
Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya...
Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia...
Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.