Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Finland kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe 08 hadi 11 Oktoba 2024.
Alipowasili kwenye...
Katika miezi ya nyuma ujenzi wa SGR uliendelea kwa kasi kubwa hapa Mwanza lakini kwa siku za karibuni ujenzi huu umesimama hatujui sababu ni nini.
Ni vema ujenzi huu ukaanza tena ili na sisi watu...
SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,amewataka wanawake katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wajiandikishe,wagombee nafasi za uongozi na kwenda...
Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa.
Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata...
Kutoka Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM taifa
Majibu kwa Madai ya John Mnyika,Katibu Mkuu wa Chadema.Ukweli Dhidi ya Upotoshaji
1. Ukweli kuhusu Mamlaka ya TAMISEMI
Madai ya John...
RAIS MWINYI: ZANZIBAR NA COMORO KUENDELEZA UHUSIANO WA KIBIASHARA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya...
Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa...
Nimerudia kusikiliza mara kadhaa hotuba yako pale kwenye jukwaa la Mtume Bulldozer Mwamposa,
Nimejiridhisha hotuba yako yote iliwalenga wale watumishi wa Mungu wenye kawaida ya kutoa "Waraka"...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya...
Diwani wa Nkiwanzenzaa
Asiyejuwa katiba, kanuni, ilani, miongozo, na taratibu. Mwenye elimu ya moja, mbili, tatu Siiiii mzuka. Amesusiwa kikao baada ya kutaka kupandikiza watu kwenye SSEEM kama...
Kinachoendelea nchini kwa wiki kadhaa saaa ni baada ya baadhi ya watu kudaiwa kutekwa , kutoonekana mahali waliko huku mtu mjumbe wa sekreteriet ya CHADEMA kukutwa amauawa .
Watu...
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho.
Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili...
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa...
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini.
Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa...
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na...
Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa...
Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025...
Wakuu salama? Niwasalimu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wana - JF.
Mada hii fupi sana: Kama wewe ni sehemu ya watekaji tubu na jiandae, Mungu amenionesha pigo kubwa juu yenu.
Akinionesha...
Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.