Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
#Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40% #Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone...
2 Reactions
3 Replies
246 Views
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
1 Reactions
14 Replies
469 Views
Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma...
21 Reactions
502 Replies
47K Views
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi 1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu 3. Africa Kusini -...
22 Reactions
119 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu? Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/live/ZEQdEtlGZ6o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Dar es Salaam, leo tarehe 04 Oktoba, 2024...
10 Reactions
170 Replies
7K Views
Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa...
1 Reactions
5 Replies
350 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya...
1 Reactions
24 Replies
935 Views
Baada ya kuzunguka na pitapita zangu nimegundua CCM licha ya kutumia dola kushinda lakini kuna maeneo wanashinda kwa udhaifu wa vyama vya upinzani alafu mwisho wa siku wanatupa lawama kwa vyombo...
2 Reactions
7 Replies
368 Views
Katika kujadili swali la kama Tanganyika iungane na Kenya au iungane na Zanzibar, ni muhimu kuangazia faida na hasara za kila muungano. Hata hivyo, katika muktadha wa maendeleo ya kiuchumi...
2 Reactions
13 Replies
398 Views
Wakuu, Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar. Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Wakuu, Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari...
0 Reactions
3 Replies
219 Views
“Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba...
23 Reactions
84 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ninayo furaha kubwa sana Moyoni Mwangu kumtakia heri ya kuzaliwa mzee wetu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya Nne,Mwanajeshi...
10 Reactions
85 Replies
2K Views
Siku moja baada ya taarifa za mkaguzi msaidizi wa polisi kituo cha USA River Mkoani Arusha, Demetrida Sweethbert Thadeo kuanikwa kupitia mtandao wa Jamii Forums akidaiwa kukodi majambazi ili...
19 Reactions
136 Replies
19K Views
Back
Top Bottom