MAELEKEZO YA MWL.NYERERE KWA JEN. KOMBE NA MEMBE KUHUSU JACK STEVEN GOTHAM.
Karibuni tena kuungana nami kati "series" na "episode" namba sita inayoelezea wasifu na historia ya mseminari, kachero...
Leo, Jumatatu Oktoba 07.2024 Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhamana lililokuwa limewekwa na Jamhuri/serikali dhidi ya aliyekuwa Meya...
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao...
Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hawa jamaa wawili ni kama vile wamepewa majukumu makubwa wasiyoyaweza. Watu wanatekwa, wanauwawa na wengine kupotezwa kimya kimya wao wanaangalia tu. Sasa sijui...
Hakimu mkazi Mkuu Franco Kiswaga wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam anayesikiliza kesi hiyo anatarajiwa kusoma hukumu ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Boniface Jacob (Boni...
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora:
Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa...
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema...
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii, uwepo wa vyama vya kisiasa hapa nchini ni halali na vinapaswa kuendelea kulelewa Ili vikue, Kwa lengo la kutaka kuendelea kuleta maendeleo nchini.
Uwepo wa vyama...
Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa...
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa duniani, na Tanzania imeathirika pakubwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa kama mafuriko, ukame, na kupungua kwa rasilimali...
Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa
fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa...
Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati...
Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima.
Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu...
~ Atamba azi kubwa ya maendeleo iliyofanyika ni turufu ya ushindi kwa CCM na Rais Samia 2025
~ Aomba ukarabati kituo cha afya Mwika Msae
na upanuzi kituo cha afya Himo
~ Aomba pia barabara kwa...
Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila...
Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.