Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana! Mwaka jana kukapitishwa...
2 Reactions
34 Replies
994 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu...
8 Reactions
17 Replies
818 Views
Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu. Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
275 Views
Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya...
2 Reactions
15 Replies
406 Views
Ikumbukwe kuna Watanzania wawili waliokuwa wakifanya kazi nchini Israel waliuliwa na Magaidi wa Hamas Tanzania tumejifunza nini Katika uvamizi ule uliozaa Vita inayozidi kusambaa duniani kote...
6 Reactions
31 Replies
733 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
97 Reactions
703 Replies
26K Views
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama...
6 Reactions
13 Replies
819 Views
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu. #Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
7 Reactions
71 Replies
4K Views
Rais Samia amesema ndugu zetu wa Kenya ni Wiki sasa wanapambana kulinda Amani Sisi tusifike huko Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Lengo la huu Uzi ni Kutazama Yale mambo ambayo Nyerere Aliyafanya lakini Matokeo yake ni Negative. Pengine itawasaidia Viongozi walio madarakani Wajifunze kwamba. Kiongozi hata awe Mzuri namna...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na...
2 Reactions
17 Replies
692 Views
Wakuu, Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa...
16 Reactions
118 Replies
3K Views
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020 ========...
27 Reactions
696 Replies
99K Views
Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde...
0 Reactions
8 Replies
207 Views
Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA lashindwa kufanya uchaguzi kutokana na kushindwa kutumia misingi ya Demokrasia. Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika leo, kutokana na vurugu zilizojitokeza...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Siku hizi tunafanya maamuzi ya haraka na mafupi yanayotunufaisha kwa muda mfupi wa maisha yetu. Lakini tunapaswa kutafakari zaidi juu ya mustakabali wa vizazi vijavyo—watoto, wajukuu, na hata...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametoa mojawapo ya hotuba adimu sana na Uchambuzi wa kina akiwashutumu Mabeberu na kutaka Africa Iamke. Rais Museveni amesimulia jinsi ambavyo Wazungu wako...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Naona kuna watu wanataka kupotosha kuhusu swala la kujiunga OIC kwamba ni la leo. Yule Mzee wa CHADEMA kakumbushia tu Wazanzibari ajenda yao ya Miaka mingi. Swala la OIC ni Ajenda...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
TANZANIA NA COMORO ZAJADILIANA KUSHIRIKIANA KATIKA NGAZI YA MIJI Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekaribishwa rasmi katika mji wa Bangoi Kuoni na kuzungumza na uongozi wa mji...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Back
Top Bottom