Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi...
4 Reactions
33 Replies
937 Views
Salaam, Shalom!! Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili. Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila...
31 Reactions
118 Replies
2K Views
WAZIRI KOMBO AWATAKA WATAFITI WA AFRIKA KIZANGATI UZALENDO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewataka Wanazuoni, Asasi za Kiraia na...
0 Reactions
3 Replies
151 Views
WAZIRI WA ULINZI STERGOMENA TAX AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) jioni ya tarehe 05 Oktoba 2024...
0 Reactions
5 Replies
272 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada...
20 Reactions
58 Replies
2K Views
Mh Rais Jeshi letu la polisi chini ya Uongozi wa kikanda Kanda ya Dar ESALAAMU BWANA MURIRO lilifanikiwa kumkamata Mtu Mmoja aliyekuwa Meya wa jiji la DSM ndugu Bon Yai BAADA ya kumdaka...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya...
0 Reactions
5 Replies
251 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma...
1 Reactions
61 Replies
2K Views
Mwanasiasa Tajiri kuliko wote Mkoani Mbeya, Mwekezaji wa Kimataifa, Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Bilionea Joseph Mbilinyi, Leo amefundisha habari za Uchaguzi ujao wa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii haijawahi kutokea...
14 Reactions
100 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii...
4 Reactions
98 Replies
4K Views
Ninaomba mwenye uelewa anieleweshe! Hapa ni mbunge atatafuta ulaji au ni mbunge anatafuta kuwapigania wananchi wa Jimbo lake?
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia...
3 Reactions
12 Replies
565 Views
Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
0 Reactions
1 Replies
250 Views
INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira...
7 Reactions
14 Replies
389 Views
Kwa sababu ya Njaa tu au Uchawa mtu anakubali Kudanganywa huku akijua Anadanganywa na Uwongo ule anausambaza kwa Watu wengine walio waaminifu mbele ya Mungu wa Mbinguni Wanasiasa wa siku hizi...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Back
Top Bottom