Kuliko kuwa mwanaCCM bora kufa tu.
Nilishawahi kujitahidi kujaribu kuwapenda lakini wapi lakini nashindwa
Wametutalawa kama mifugo kwa miaka 60 huku wakijiona wao wapo juu ya dola na wakilitumia...
Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti...
Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi...
Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake lini? Ikiwa kuna mtu mwenye katiba ya FEMATA, tafadhali igawanye ili watu wengine waweze kupata taarifa muhimu kuhusu...
Leo kwenye Kongamano la TLS kuhusu utekaji na kupotea Kwa raia, Kamanda Muliro amejichanganya kwa kuelezea kuhusu suala la Sativa.
1. Kwanza, amekiri kwamba Sativa kabla ya kuhojiwa alikiri kuwa...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umesema miradi yake, haitaathirika na kusitishwa kwa misaada ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), kwa kuwa Serikali ya Tanzania imejipanga kutoa fedha nyingi...
Wakuu,
Chalamila anazidi kuonekana hamna kitu kichwani, haya matapeli tukalinde amani ya nchi ili tuzidi kuapata wa kuwatapeli! 🤦♂️🤦♂️🤦♂️
Job true true!
Mateso ya Wayahudi huko Hispania na Inquisition (Karne ya 15)
Mnamo karne ya 15, Wayahudi waliokuwa wakiishi katika Hispania ya Kikristo walikumbwa na mateso makali wakati wa Inquisition ya...
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana...
"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya...
Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k...
..hayo yalielezwa ktk kongamano la TLS kupinga utekaji na mauaji.
..kuna kipindi CCM walikuwa walipigwa propaganda kwamba Chadema ni Chama cha Wakristo au Wakatoliki.
..propaganda hiyo ilikuwa...
Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT.
"Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo...
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye Makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya, Mhe. Zsolt Mészáros, ameipongeza Tanzania kwa kusimamia vema sera zake za fedha na...
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.
Uchaguzi huu...
Katika jamii zetu, huduma za afya ni msingi wa maisha bora. Hata hivyo, tatizo la maji safi na salama linazidi kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo mengi, ikiwemo kijiji cha Karansi...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.