Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa...
1 Reactions
13 Replies
687 Views
Utangulizi Ujenzi wa vituo vya afya, shule za msingi na sekondari, barabara, na miundombinu ya maji safi na salama ni mambo muhimu katika maendeleo ya jamii. Katika muktadha wa Tanzania, masuala...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Wabobezi wa Tax management na Tax Administration naomba mnielimishe Mara nyingi huwa tunaelezwa TRA imevuka malengo yake Sasa kama inavuka malengo si tuwape tu Maua yao na maisha yaendelee kama...
3 Reactions
26 Replies
565 Views
l will be honest Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo. Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya. Tafuteni alternative . 2025 kazi...
2 Reactions
15 Replies
482 Views
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya...
-2 Reactions
72 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema Namnukuu "Lakini mimi...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana. Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe...
9 Reactions
77 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Tuna changamoto kubwa sana ya uwajibikaji binafsi mpaka mtu awajibishwe na ikifika hatua hiyo inakua kwa aibu sana. Baadhi ya Polisi Tanzania ni genge la watekaji na wauaji na wanajua kwa sababu...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanabodi, kwa kauli hii ya Jaji Warioba ndio kusema kwamba CCM wanaanza kukubali mmoja mmoja kwamba walipora uchaguzi au kuna namna hatujamuelewa mzee wetu? Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania...
3 Reactions
16 Replies
924 Views
04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa? Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru. Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu...
3 Reactions
19 Replies
726 Views
Back
Top Bottom