Balozi Said Shaibu Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu swali kuhusu sintofahamu ya sanamu la Mwl. Nyerere amesema;
Kwenye sintofahamu hiyo...
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama
Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama...
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba...
Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri...
Pamoja na kwamba ukiwa mwana ccm lazima uvae gamba la kijani.
Filikunjombe alikuwa na mawazo huru kitu ambacho kilimkwamisha kukubalika ndani ya CCM.
Wana Njombe walipata pigo sana kuondikewa na...
Naam ndg zangu katika Imaaan.
Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu...
TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA.
Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania...
"If the Court still makes mistakes by condemning the Innocents, Why do we still allow it to provide rights?"
Kama tunajua na kukubali kuwa kuna watu wasio na hatia wako jela, kwanini bado...
JF,
Raisi wa Comoro anatamani siku moja Kuwa na Muungano na Mainland kama ule wa Zanzibar! Pamoja na matatizo madogo2 Muungano na ndugu zetu wa visiwani kwa sasa je kuna haja ya Tanzania...
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AHITIMISHA ZIARA JIMBO LA IGUNGA KWA KISHINDO
Asisitiza ujenzi imara wa Chama
Asema Mikakati ya kujenga vitega uchumi na Kukuza mapato ya Chama ni mfano wa...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu...
Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais...
Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari.
Nashukuru pendekezo langu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye...
Ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kanda za Chadema inaonyesha kwamba, Uchaguzi wa Kanda muhimu ya Pwani utafanyika Jumamosi Tarehe 5 octoba huko Kibaha, Mkoani Pwani
Miongoni mwa Watia nia ya...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.