Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambapo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Ingawaje nchi nyingi za Afrika ni maskini huku miundombinu, huduma za msingi zikiwa hafifu na wananchi wengi kuishi katika umaskini wa kutisha, viongozi wa Afrika wanafahamika kwa kuishi maisha ya...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote . Tunakoelekea watu...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo...
0 Reactions
2 Replies
247 Views
Salaam, shalom!! Aliyekuwa Waziri Mkuu Awamu ya tatu ndugu Sumaye aliwahi kuhojiwa kwamba, kwanini Tanzania ni Nchi masikini, akajibu hata Yeye hajui🤔 Waziri wa Fedha wa Awamu ya Tano kipindi...
13 Reactions
161 Replies
3K Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu...
10 Reactions
155 Replies
11K Views
KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI MTANDAONI NI KUMINYA UHURU WA HABARI ACT Wazalendo tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la Mwananchi Mtandaoni na kuitaka Serikali kupitia Mamlaka ya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
• Hapa Ni Ile Kodi ya moja kwa moja •Kwa takwimu za mwaka Jana Ni 16% ya Nguvu kazi ambayo ndiyo inalipa Kodi Yani Kati ya Nguvu kazi ya Tanzania 33,000,000 Ni watu chini ya milioni nne Pelee...
6 Reactions
36 Replies
776 Views
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa katika...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki...
17 Reactions
121 Replies
12K Views
Kwa wale Wabobezi wa mambo ya Tax management na Tax Administration naomba mnielimishe kidogo Tatizo ni nini? Wafanyabiashara wanalipa Kodi zao vizuri Lakini zinaibwa na Watumishi wa Umma na...
2 Reactions
25 Replies
552 Views
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi...
1 Reactions
10 Replies
559 Views
C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu...
1 Reactions
4 Replies
415 Views
My Take Kuliko kuendelea kuwa na reli inayoleta hasara,Tanzania na Zambia zimpe Mchina. Naunga mkono ubinafsishaji wa Tazara na Mashirika mengine yote yanayotupa hasara au laa yafutwe kabisa...
19 Reactions
96 Replies
8K Views
TUME YA MABORESHO YA KODI, KUNI YA ONGEZEKO LA ULIPAJI KODI WA HIARI Na Mwandishi, Umoja wa Vijana CCM Rais Samia Tarehe 04/10/2024 amezindua Tume ya Rais ya Maboresho ya kodi Kodi ni -mchango...
0 Reactions
4 Replies
592 Views
WATUMISHI CCM WANOLEWA KUHUSU FURSA ZA MASOMO NJE YA NCHI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), kimefanya mafunzo kwa watumishi wa chama na...
1 Reactions
5 Replies
368 Views
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi...
45 Reactions
280 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na...
2 Reactions
134 Replies
2K Views
Back
Top Bottom