Hili suala na wao wanalijadili kumbe:
Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya...
Ukiniambia huyu mbunge hajui kusoma siwezi kushangaa.
Mandatory HIV tests unsuitable, says Govt
2008-08-07 09:33:50
By Patrick Kisembo, Dodoma
The government has rejected advice by...
Wale raia waliokuwa na silaha na wakichangamana na polisi kukamata mashabiki wa Chadema wametokea wapi? Nani amewatuma?
Je, ni salama kwa shughuli za Jeshi la Polisi kufanywa na raia waliobeba...
Sakata la EPA: Mambo mazito!
2008-07-17 19:11:17
Na Mwandishi Wetu, Jijini
...Leo asubuhi, Alasiri lilipojaribu kuwasiliana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ili kujua kama timu...
Heshima Mbele,
Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa...
Heshima Mbele,
Baada ya muda mrefu wa kupaza sauti,takribani miaka mitatu ya kueneza mapinduzi ya kidemkrosia kupitia mijadala ya moto moto,imani yetu ya kujenga uwezo wa watu kuzungumzia mambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga...
Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa...
Wakuu,
==
Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini...
Hostel ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tawi la Ubungo kuna matatizo mengi yanawakumba wanafunzi.
Moja kati ya matatizo hayo ni upatikanaji wa maji. Hostel ya Ubungo licha ya kukaa zaidi wanafunzi...
Wakuu,
Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku...
Sisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Yakubu amekutana na kufanya mazunguzo na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu wa Rais Mwenye Dhamana ya Wizara ya Ulinzi nchini...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao...
Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo...
Tathmini yetu (ambayo ni ya uhakika) inaonyesha kwamba Umaarufu wa Chadema umeongezeka kwa zaidi ya 25% kuelekea kwenye Robo ya Mwisho wa Mwaka, huku ikipanda kutoka 60% kutoka ilipokuwa kwenye...
Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa.
Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na...
Siasa ni Sayansi
Acha wale vijana wenye ngozi ngumu waliojengwa kikamilifu na CCM wote warejee Uongozini tayari kwa 2025
CCM inawahitaji zaidi Vijana aina ya Lengai siyo hawa Lege lege mrenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.