Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BRIGEDIA JENERALI CHAKILA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 26 Juni 2024...
3 Reactions
12 Replies
920 Views
Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka. Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu...
1 Reactions
3 Replies
523 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
13 Reactions
186 Replies
17K Views
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X) "Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India...
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Kwa Mujibu wa Sheria na Taratibu, Wahalifu wanapokamatwa kinachofuatia ni kupelekwa Mahakamani ili wakajibu Tuhuma zao, Wakikutwa na Hatia kitakachofuata ni Kifungo au adhabu yeyote ambayo...
1 Reactions
11 Replies
374 Views
Wana ndugu, katika kukua kuna story zinakuwa zina evolve na kusababisha kuaminika kutokana na kutokanushwa saa nyingine ni kwa kuzipuuza, Saa nyingine zaweza kuwa story za kutungwa tu...
19 Reactions
251 Replies
39K Views
Haya maneno kayatamka dulla Makabila kwenye mkutano wa Rais Samia Samia Songea Ifike mahali watanzania tuamke!! Tususie kazi za wasanii kama hawa ambao wanatumika na ccm vibaya Sikatai msanii...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Wanabodi, Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF. Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi...
10 Reactions
78 Replies
4K Views
My Take Naunga mkono hoja. Ukiwa na akili timamu huwezi Baki kwenye chama ambacho limejaa Wala rushwa,hakijielewi ,hakina sera,hakina dira na Wala hakijui nini itakuwa mstakabali wake Uwepo wake...
1 Reactions
31 Replies
775 Views
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya...
30 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Maneno hayo yamesemwa na Mwamba wa kaskazini Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.siku ya jana ya jumapili pale alipopewa nafasi ya kuzungumza...
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
2 Reactions
18 Replies
912 Views
Zanzibar: Bima kwa wageni watalii US$44 kuanza 1 September 2024 Dk. Saada Mkuya Salum WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Saada Mkuya Salum amesema uwepo wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
C&P from Face Book. THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT! Na Bollen Ngetti 0748 092092 KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya...
6 Reactions
6 Replies
457 Views
Yaani kuongoza Tanzania ni kazi nyepesi sana ingawa tunaaminishwa kuwa ni kazi ngumu, jambo kubwa ni upate madaraka kwa njia yoyote Tanzania wekeza sana kwenye Simba na Yanga, tengeneza machawa wa...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi...
1 Reactions
4 Replies
400 Views
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha...
8 Reactions
88 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani...
1 Reactions
172 Replies
5K Views
Back
Top Bottom