Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa...
Ndugu Watanzania!
Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea...
"Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA Tundu Lissu ageuka Mbogo wakati akizungumza katika Jimbo la Kibamba baada ya CCM kuwabagaza CHADEMA katika Uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za...
Kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa UWT Marry Chatanda huko Songea.
Bali hakusema ni wapi hao Bawacha walisema hivyo na wala hakueleza ikiwa hawataomba radhi watafanywaje.
Habari kamili hii...
Ufafanuzi wa swali uko very clear na kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Magazeti kama Lucas
Ikumbukwe pia Haki ndio inazibeba Amani na Furaha
Ahsanteni sana
Nimekaa pale 😃
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu...
Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi.
Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba...
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa
Wimbi la hivi karibuni la...
Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote...
Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar litaanza tarehe 07 hadi 13 Oktoba 2024.
Akizungumza katika mkutano wa wadau wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na...
Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi.
Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson...
Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na...
Kitchen cabinet au "Baraza la jikoni" la rais ni kundi dogo lisilo rasmi la washauri wanaoaminika ambao hutoa ushauri na mwongozo kuhusu masuala mbalimbali, mara nyingi nje ya mifumo rasmi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025
Hata wananchi walishamsahau wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.