MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (MNEC), Salim Abri Asas, amewataka vijana wa chama hicho kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya wale wanaomchafua kupitia majukwaa...
Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote...
DAWASA SHIRIKIANENI NA JUMUIYA ZA WANANCHI KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI - WAZIRI AWESO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uagizaji Mchele nchini Comoro, Moussa Hamada na wamezungumzia namna bora ya kuongeza uagizaji wa...
Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza...
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere...
Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo...
Ni dhahiri kabisa kuwa nchi yetu na hasa viongozi wa serikali hawapo tayari na huu mfumo tunaoutumia sasa wa siasa za kidemokrasia!
Wakati mfumo unataka kuingizwa nchini miaka ya mwanzoni mwa...
Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa...
Msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki, ametoa maoni yake kuelekea Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa, kuhusu masuala ya uongozi na maendeleo ya nchi...
Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni dhahiri na wazi kabisa kuwa kwa sasa CHADEMA imefika hatua imekata tamaa kabisa ya siasa hapa Nchini,imepoteza morali,hamasa,nguvu iliyokuwa nayo miaka Kadhaa...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.
Tamko hili la...
Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake...
Katika kipindi cha zaidi ya miongo mitatu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikiongoza serikali ya Tanzania. Ingawa kuna maendeleo yaliyopatikana, bado kuna masuala mengi yanayoshindikana ambayo...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi
Mbunge...
Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze...
Wakuu,
Najua kwa sasa Nay Wa Mitego ndiyo hot cake kwa wapinzani. Yeye na Roma ndio wasanii pekee upande wa mainstream ambao wamekuwa na uwezo wa kuzungumzia yale mambo yanayoendelea nchini...
Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu
Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.