Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.
Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado...
29 December 2023
Kilimanjaro International Airport
Tanzania
BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS
BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA...
Katika kipindi hiki ambapo vitendo vya utekaji, watu kupotea na kuuawa vimekuwa vikishamiri nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kama kiongozi mwenye jukumu kubwa la kufariji...
Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000.
Hebu fikiria kwa...
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga...
"Ombi la Dharura kwa Joshua Loitu Mollel - Tafadhali Tusaidieni na Tuombe
Joshua Loitu Mollel, mwanafunzi mdogo kutoka Morogoro, Tanzania, aliianzisha safari yake kwenda Israel tarehe 18/9/2023...
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China.
Ametoa kauli...
HUYU NDO EDWARD MORINGE SOKOINE SHUJAA WA WANYONGEMZALENDO WA TANGANYIKA,ADUI WA WAHUJUMU UCHUMI NA WATENDAJI WAZEMBE1/8/1938 -12/4/1984
"Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na...
Ni dhahiri ni kweli MOVEMENT SAMIA ndio taasisi inayojibu mapigo mengi zaidi toka Upinzani kuliko UVCCM kwa Sasa japo huu ni ukweli mchungu.
Rais Samia Relax hawa vijana. Wananguvu na uwezo...
Uchumi wa Tanzania ni zaidi ya Shilingi Trilioni 221 wakati deni lake ni Trilioni 99 ikiwa ni chini ya asilimia 50%.
Hivyo basi wale wanaosemaga Tanzania Ina madeni sana basi wajitafakari...
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu ...
Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu.
Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi...
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na...
Mimi ni mwanaCCM kindakindaki ila nimekerwa na alichofanya huyu mkurugenzi wa wilaya ya Karatu kuwahusisha watoto kwenye harakati zake za kisiasa.
Watoto wanatakiwa wafundishwe ukweli kuwa kodi...
Salaaam Wakurungwa,
Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface...
Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.