Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...
Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.
Katiba ya Chadema iheshimiwe
Katiba ya CCM nayo hivyo.
Vijana...
Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake
Ila natania tu 😃😃
Kwako Mshana Jr kilingeni Miono
Pia soma
Rais Magufuli atengua uteuzi wa January...
Katika kipindi hiki cha mabadiliko makubwa ya kisiasa, ni muhimu kwa vijana wa nchini kuungana bila kujali tofauti zao za kabila, dini, na elimu. Wakati tunapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030...
Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA.
2...
Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu.
Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele!
Sijamtetea kwa sababu...
Rais Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu mazito ya kuliongoza taifa letu pendwa la Tanzania.
Bila shaka unapitia wakati usio wa kawaida kutokana...
Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael...
Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania...
Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 02 Oktoba, 2024 amekabidhiwa jezi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania maarufu...
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya...
Meya wa Ubungo Mh. Boniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi...
Wakuu,
Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi?
======
"Tushikamane na serikali yetu na chama...
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo...
Wakuu,
Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa?
Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda...
Kwanza sikiliza hii:
Tundu Lissu anasema katika voice note hii;
"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna...
Baada ya Hotuba ile ndio msululu wa vikosi ukaanza kuondoka Lugalo kuelekea Stesheni kupanda Gari Moshi tayari kwenda Kumsulubisha Nduli Iddi Amin kuanzia Mutukula hadi Kampala
Kitambo sana 😄...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.