Wakuu salaam,
Hivi mlifikiria nini kumualika Rais Samia kama mgeni rasmi na mpaka mkampa tuzo? Mlishauriana kwwli mkaona hii ni good move na italeta matokeo chanya mbeleni? Yaani mnafikiria kama...
Wakuu salam kwenu,
Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa.
Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa...
Mke wa Frank Mbise, kijana aliyetekwa zaidi ya siku 40, amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan, akiomba msaada wa kumrudisha mume wake nyumbani.
Akizungumza kwa uchungu, mwanamke huyo alisema kuwa...
Anaandika mbunge mstaafu wa Singida mjini mh Mo Dewji aliyewahi kutekwa
Quran 5:32 Yeyote atakayeokoa maisha ya MTU mmoja ni Kama umeokoa binadamu wote
Ametoa Mawaidha ukurasani X
Ahsanteni...
Natamani mnijibu kwamba hawa watu wanaojidhalilisha hivi wanafanya bure Kwa ujinga wao. Lakini mkisema hawa watu wanalipwa kufanya huu upuuzi, basi kweli kuna shida kubwa.
Uwaziri Mkuu wa Sokoine ulikuwa wa hovyo kuliko mawaziri wakuu wote tangu nchi ipate uhuru mpaka sasa.
Ni yeye, kama alivyosema Mzee Warioba, aliasisi sheria za hovyo kabisa, hovyo kabisa ambazo...
Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi.
Ni kero zaidi...
Kiongozi wa Vugu Vugu la DKT SAMIA almaarufu kama MOVEMENT SAMIA CDE Mwigulu Shigela amekemea vikali wa Mama wa CHADEMA almaarufu kama BAWACHA kwa kitendo chao cha kuteketeza kanga zilizokuwa na...
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:
1. You are suckers.
2. You are all stupid people.
3. You are all idiots.
And if you believe everything that is being...
CPA Catherine Ruge soma vizuri sana hiyo mistari ya Kitabu Kitakatifu na uwashirikishe Bawacha wote utamu wa Neno la Mungu wa Mbinguni
Kwa heshima mlimualika mama na kwa Upendo Mkuu aliitikia...
Wapendwa wasomaji,
Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi...
Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu hapa nchini, mimi naona ni muhimu kuanzishwe mfumo mpya utakaofanya wanawake wa vyama mbalimbali wapambane kutafuta kura kwa wananchi moja kwa moja kuliko mfumo wa sasa...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile anawakaribisha Mabalozi wote wa mashina na wajumbe mkutano mkuu wa jimbo la Mufindi Kusini kwenye...
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.