Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo...
0 Reactions
7 Replies
670 Views
Hii ni wakati wa kuzindua kitabu cha Sokoine! Kwangu mimi Nyerere alikuwa Dictator! Wewe wasemaje?
2 Reactions
3 Replies
279 Views
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanawake wamekerwa na Mama Samia. Sijui kwanini hawachukulii hatua watekaji na wauwaji. Hata CCM wenzake wamemchoka ndio maana katika hili la utekaji na mauaji hawamtetei...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukisikia mfanyakazi wa serikali wananchi wanamkubali basi huyu Daktari ni mfano mmojawapo wa kuiga Wananchi wanakijiji wamenunulia kiwanja ajenge nyumba yake binafsi ya kuishi...
18 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya...
4 Reactions
78 Replies
1K Views
Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha? Iweje Kila msanii awe CCM...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized. Kwa...
18 Reactions
85 Replies
4K Views
Utangulizi Katika muktadha wa sheria, hasa sheria ya katiba na sheria za kimataifa, hali ya kisheria nchini Tanzania imekuwa na changamoto nyingi. Hapa, tutajadili muktadha wa sheria ya katiba ya...
2 Reactions
15 Replies
727 Views
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara...
17 Reactions
84 Replies
10K Views
Tumeeelezwa Rais wetu mpendwa pamoja na mwenzake wa Zambia watasaini Makubaliano na Serikali ya China kwa ajili ya Maboresho ya Reli ya TAZARA! Kuna kaukimya fulani kwa Serikali kuhusu namna reli...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya. Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania...
5 Reactions
88 Replies
3K Views
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya...
16 Reactions
55 Replies
3K Views
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Ama kweli hakuna Marefu yasiyo na Ncha, yaani CCM leo ni ya kutegemea Wasela ili kukusanya watu! Hebu angalieni Bango hili halafu tuone maoni yenu. Baada ya hayo maoni yenu mtueleze sasa hao...
3 Reactions
26 Replies
939 Views
Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari. 1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema. 2...
3 Reactions
5 Replies
356 Views
Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu...
2 Reactions
98 Replies
2K Views
Back
Top Bottom