Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari! Mwenye ufahamu tu anijuze kama tra ilivuka malengo ya ukusanyaji nini kimeisibu serikali hii kwa kutotoa fedha kwa wizara zote kutovuka malengo ya bajeti zake ili hali kama deni la taifa...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.
1 Reactions
8 Replies
339 Views
Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Jaji Warioba tumeona kwa majirani zetu jinsi ndoa ya uchawa baina ya viongozi, wasomi waandishi...
31 Reactions
100 Replies
5K Views
MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na...
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Wakuu, Makonda ameendelea kutoa spana huko Arusha baada ya kusema kuwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa muda mrefu kwa sababu walikuwa wanaendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara. Kauli hii...
5 Reactions
168 Replies
3K Views
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi. Kwenye kikao na baadhi ya...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii ndio tofauti ya Taifa huru na linalotambua maana ya kupata uhuru. Leo hii Taifa letu linaletewa mjadala wenye akili kubwa na wenye mrengo wa kujikomboa kiuchumi bila kupangiwa na mkoloni...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe wa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa alio uandika kupitia katika ukurasa wake wa Twitter Je, anamaanisha nini au kutuma ujumbe gani na kumlenga...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
My Take Machadema wataanza kutoa povu huku wakimuita chawa 😂😂😂😂 Very desperate saccos iliyokataliwa 👇👇 --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa...
1 Reactions
4 Replies
345 Views
https://www.youtube.com/live/-hJCWc1yRoA
1 Reactions
16 Replies
647 Views
Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
Mzee Hashim Juma Issa, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Taifa aomba radhi watanzania kwa kauli yake. Pia soma Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi...
0 Reactions
10 Replies
454 Views
Akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumpokea wakati akiwa njiani kupelekea Dodoma akitokea Rukwa,Rais wa JMT amewataka Wafanyabiashara Walipe Kodi na tozo wanazopaswa kulipa. Rais Samia...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom