Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
Niccolò Machiavelli, mwanafalsafa wa karne ya 16, anafahamika kwa maoni yake kuhusu siasa na uongozi, yaliyoelezwa kwa kina katika kitabu chake maarufu, The Prince (Mfalme). Katika kazi yake hii...
Ofisi ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali ndiyo yenye jukumu la kuchapisha nyaraka mbalimbali za Serikali ikiwapo Sheria mbalimbali na Gazeti la Serikali. Machapisho yake huyauza kupitia Maduka ya...
Pamoja na kuwa jimbo hili limeongozwa na chama twala kwa miaka yote isipokuwa mitano tu tangia nchi ipate uhuru wake lakini bado limekuwa la mwisho kimandeleao jijini Daresalaam!
Kwa Upande wa...
Katika ulimwengu wa leo, wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi, hasa katika mazingira ya kazi. Hali hii inajitokeza wazi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Magufuli, kilichopo Mbezi...
Naibu Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Naim Qassem kupitia video amesema kwa sasa Hezbollah ni Imara zaidi na mapambano Ndio kwanza yanaanza
Qassem amesema jana IDF wamekiri kwamba Kombora Moja la...
Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi.
Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi...
Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26...
Ndugu zangu Watanzania,
Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati...
Inavyoonekana Samia ni muumini wa ma chawa jambo ambalo ki uhalisia wanamdanganya kuliko kumweleza ukweli.
Kwa yanayoendelea Nchini, ni wazi wapo wapuuzi wanamdanganya apuuze.
Rais Samia...
CHATANDA: MIKOPO YA ASILIMIA 10% YA DKT SAMIA IWAFIKIE WALENGWA BILA KUPINDISHA
🗓️04 Mei, 2024
📍Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC)...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda, tarehe 04 Julai 2024 ameongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT Taifa kilichofanyika katika ofisi ndogo za CCM lumumba jijini...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul...
Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing"...
Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi amesema Mbeya siyo Washamba ila kwa asili hawaruhusiwi kuvumilia Ujinga
Mwabukusi ameandika katika ukurasani X:
MBEYA siyo washamba ila kwa asili haturuhusiwi...
Nilitembelea Makumbusho ya Taifa huwa napendelea zaidi kuliangalia gari la Tanu Land Rover 109 aliloendesha Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi Tanu
Uongozi ni taasisi Ndio sababu likitajwa lile...
---
Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.