Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM...
Spika mstaafu mh Ndugai amesema aliwahi kumwambia Mbowe anataka kumkutanisha na Rais Maguful kuzungumzia mustakabali wa siasa za nchi lakini Mbowe alikataa
Ndugai amesema Mbowe alikuwa tayari...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema Kanda ya Kusini imepata viongozi wapya watakaoongoza Kanda hiyo kwa kipindi kinachofuata,
Uchaguzi huo uliokuwa mgumu sana kutokana na Uimara wa...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Tanzania Election Watch, wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020, kulikuwa na ongezeko la Taarifa za Upotoshaji zilizotumwa katika Mitandao ya Kijamii zikilenga...
https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya...
https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano...
Mchungaji kutokea Kanisa la Pentekote, Davina Kahwa ameibuka hivi karibuni kuzungumzia uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika 2025.
Mchungaji huyo ambaye pia anatokea kwenye huduma ya uombaji wa...
Askofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli.
"Rais...
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.
Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo...
Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano.
Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?
Habari za weekend!
Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.
Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka...
Ninatoa wito kwa Rais Samia na serikali yake kuchukua hatua za haraka kuhusu hali ya maendeleo katika Jimbo la Chunya na Lupa, Mkoa wa Mbeya, kulingana na ilani ya CCM ya 2020-2025. Ni jambo la...
Kumekuchaje wanajamvi?
Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui.
Kwenye uongozi kuna...
Nimefuatilia hafla ya uzinduzi wa Tawasifu ya Edward Moringe SOKOINE. Kwakweli Mh. Rais, kwa kuridhia na kuidhinisha pesa za uandishi wa kitabu hicho, umejijengea heshima kubwa Kisiasa na kijamii...
Na Mwandishi wetu.
Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka...
Kesho asubuhi saa 1:30 kutakua na kipindi Channel Ten.Mahojiano maalumu kati ya Presenter maarufu Bi.Hoyce Temu anayetangaza kipindi chake maarufu ‘Mimi na Tanzania' kama sehemu ya mchango...
Leo aliyekuwa waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo pia mbunge wa Mtama, Nape Nnauye anaongea na wananchi wa jimbo lake la Mtama. Amedai ataongea mengi ambayo hakuweza kuyaongea mjini Dar...
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi.
Ado...
Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.