Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika...
Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na...
MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya...
Katika muktadha wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, ni muhimu kuelewa jukumu la mashirika mbalimbali yanayoshughulika na huduma za umma. REA (Wakala wa Nishati Vijijini) imejikita katika...
Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu...
'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza...
Bila shaka nyote mnafahamu kuwa Dkt. Samia yupo ziarani mkoani Arusha kuanzia leo.
Swali muhimu la kujiuliza: Je, atafika Ngorongoro kuwatuliza Wamasai?
Pia soma Kuelekea 2025 - Rais Samia Aagiza...
Katika mazingira ya Tanzania ambapo kulishatokea matukio ya kigaidi, kama shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na matukio ya vurugu za Kibiti, vyombo vya usalama vya serikali...
Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
Wazalendo,na wanaharakati marufuku kumjibu au kubishana na Suphian Juma sio levo zenu tena
Wanaukumbi,nashangaa mnavyopoteza muda kujibizana na Suphian Juma ambaye sio levo zenu nikimaanisha huyo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo.
Huu ni muendelezo wa sisi Watanzania kujitathmini uwezo wetu wa uongozi kwenye corporate level, jee Watanzania tuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya...
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza tarehe 28 Septemba, 2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa...
Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa...
Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la
Adv. Boniface Mwabukusi.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa...
Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba.
...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza.
....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.