Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukiwa kiongozi, wa juu kuanzia ngazi ya mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri, matibu mkuu wa wizara, mkurugenzi wa taasisi, waziri mkuu, makamu wa Raisi ,na mkuu wa inchi (Rais) ni muhimu sana...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekula chumvi nyingi hivyo najua mihemko ya Taasisi ya Rais, imekuwa ni utaratibu wa tawala zetu hapa nchini kuja na mihemko na kutoa ahadi nyingi ili kuongeza mapambo katika sanaa za siasa...
4 Reactions
23 Replies
584 Views
Baada ya kifo cha hayati Magufuli hayati Membe mara kwa mara aliibuka na kauli kali sana za kumsimanga hayati Magufuli, Na kwa kufanya hivyo alipigiwa simu za pongezi sana na wapambe wake...
1 Reactions
13 Replies
931 Views
"Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Bado natafakari namna UVCCM walivyo wanyonge hadi Mwenyekiti Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amewakumbusha wajibu wao juzi pamoja na UWT Nilichogundua CHAWA hawana Mapenzi kabisa na CCM bali wako kwa...
3 Reactions
10 Replies
412 Views
Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo...
3 Reactions
18 Replies
711 Views
  • Poll Poll
Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Asalaam Alyekum Tumsifu Yesu Kristu. Kwanza ni dicrear interest kuwa mimi ni muumini wa Falsafa ya alioinzisha Prof Lumumba ya #Magulification, Naam nikweli ukiniuliza Rais wangu bora kabisa hapa...
45 Reactions
154 Replies
12K Views
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini...
17 Reactions
49 Replies
3K Views
UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa...
4 Reactions
16 Replies
844 Views
Kwanza niwaombe mods msiunganishe huu Uzi Ili nipate Elimu kwa upana wake Mimi kama mimi Nakiri kusoma Uzi wa mkuu Pascal Mayalla akielezea dhana ya Uongozi kuwajibika kwa mema na mabaya Kwamba...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakikuyu wamempendekeza Prof Kindiki Ndio awe Naibu Rais badala ya Mzee Gachagua Baba wa Taifa Mzee Raila Odinga bado hajasema chochote Ruto amejichimbia kisima Tuzidi kuwaombea Nawatakieni...
1 Reactions
5 Replies
378 Views
Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. 1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo. 2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi. 3. Aliamini...
33 Reactions
125 Replies
3K Views
Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara...
2 Reactions
6 Replies
372 Views
Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka...
0 Reactions
12 Replies
927 Views
Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi...
1 Reactions
4 Replies
361 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo...
0 Reactions
4 Replies
689 Views
Tume ya Madini inafaa kueleza vizuri sababu za kutofautisha katika utoaji wa leseni kati ya PL 6973/2011 NA RL 0009/2014. Hili ni wajibu muhimu wao kwa ajili ya uwazi na uwajibikaji katika...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Back
Top Bottom