Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo. Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel...
20 Reactions
81 Replies
3K Views
Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
1 Reactions
13 Replies
599 Views
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
Walid bin Khalid al-Walid, maarufu kama Khalid bin al-Walid, ni mmoja wa mashujaa wakuu wa Uislamu, anayejulikana kwa ujasiri wake na mafanikio yake katika vita. Hata hivyo, kuna hadithi...
2 Reactions
20 Replies
851 Views
Waziri Mkuu wa Israel Nabii Netanyahu amesema ni lazima wahakikishe Iran haipati Silaha za Nyuklia Hata ikibidi kwa kipigo, amesisitiza Source: BBC
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu. Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia. Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na...
6 Reactions
18 Replies
726 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya...
10 Reactions
198 Replies
7K Views
Nimemsikia juzi Rais analalamika vijana wake hawamtetei vema huku kwenye media ila huyu Kafulila apewe maua yake. Yaani haiwezi kupita siku hajataja jina la Mama Samia huyu jamaa, Hebu Mtaja...
2 Reactions
23 Replies
653 Views
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha...
18 Reactions
143 Replies
7K Views
Mafunzo hayo kabambe yanaendeshwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Taarifa zingine zinadokeza kwamba kabla ya Wizi, Uporaji na Unyang'anyi wa kura 2019 na 2020 ulioongozwa na...
3 Reactions
17 Replies
678 Views
Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa...
1 Reactions
0 Replies
175 Views
Askofu mkuu wa Anglican church Jackson Ole Sapit amewataka wananchi kutodanganywa na Siasa za Ujanja Ujanja za serikali Askofu Ole Sapit amesema kitendo Cha Bunge kupiga Kura ya kumuondoa Naibu...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano Ali kibao complex Alfons mawazo complex Ben saa nane memorial hall Tundu lisu road nk
0 Reactions
5 Replies
166 Views
Kura za maoni kupitia kipima joto ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Moshi Mjini zinaonyesha wazi kwamba mbunge aliyeko madarakani hatoweza kurudia ubunge wake mwaka 2025. Hali...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumaliza ziara yake kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Nchi Nzima huko...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu...
7 Reactions
17 Replies
947 Views
Back
Top Bottom