Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mh Rais , bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao Mh Rais nakusalimu . Ni usiku wa manane wakati naanza kuandika waraka huu , nimetoka kuangalia historia ya maisha...
114 Reactions
473 Replies
42K Views
Wanabodi, Leo ni siku ya Jumapili ambayo ni siku ya ibada kwa Wakristu. Naomba kutoa somo la "The Role of Yuda Iskariote kwenye Ukombozi wa Dunia hii!". Jee Yuda Alaumiwe?, Alaaniwe?, au...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study.... Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Ukisoma kwa umakini unapata ukakasi kabisa ,naona kuna kitu hakipo sawa hapa USSR
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ujao itaheshimu demokrasia Kudumisha 4R za Mpendwa wetu mh Rais Samia Waziri Mkuu mh...
0 Reactions
5 Replies
394 Views
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari , Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya...
7 Reactions
159 Replies
4K Views
Benki pendwa hii iliishiaga wapi? Bongo ukifa maskini umetaka mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote...
1 Reactions
28 Replies
480 Views
BALOZI YAKUBU ATEMBELEA BANDARI YA MUTSAMUDU, ATETA NA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI COMORO Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu ametembelea Bandari ya Kimataifa ya...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu. Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Lucas Mwashambwa na UVCCM Wenzako tumieni muda na Maarifa yenu kukitetea Chama pamoja na Mwenyekiti wetu wa taifa pale anaposhambuliwa na Vijana wa Upinzani Achaneni na Uchawa kwa Watu Wadogo...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo...
2 Reactions
6 Replies
512 Views
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete . Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza...
14 Reactions
56 Replies
6K Views
Wasimamizi wa miradi yote ni watumishi wa umma, lakini watumishi wa umma hawapewi shukrani na sifa. Sifa zote njema kwenye miradi ya maendeleo hupewa Rais. Tumeona attempts za utekaji magari ya...
4 Reactions
12 Replies
296 Views
Millicom International Cellular has finalized the sale of its Tanzanian division, completing its multi-year divestment strategy from Africa to focus exclusively on Latin American markets. The...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma. Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
50 Reactions
417 Replies
20K Views
Nchi yeyote duniani huhitaji machawa lakini wenye hoja nzito kwenye huo uchawa Tanzania kwa sasa kuna machawa wa aina mbili kuna wale ambao kutwa kusifia watu binafsi au wao wenyewe kujisifia...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao RC Chalamila amesema SI HAKI...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom