Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
“Maandamano ni haki ya kisheria kama mtu anataka kupiga kapige wale wabunge waliotunga sheria sio mlaji wa ile sheria kama unafikiri maandamano ni uhalifu yaharamishe kisheria jenga hoja...
1 Reactions
9 Replies
714 Views
Hatimaye Chama Cha Hezbollah kimetoa taarifa rasmi kwamba Israel wamemuuwa Kiongozi wao mkuu mh Hassan Nasrallah Source: BBC
2 Reactions
17 Replies
840 Views
Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato. Nanajua kabisa yawezekana...
22 Reactions
52 Replies
4K Views
Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
440 Views
Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka. Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na...
17 Reactions
102 Replies
5K Views
Shujaa Magufuli alianza na Hapa Kazi Tu Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akaiendeleza na Kazi Iendelee hadi 2030 Chadema mlijichanganga wapi? 🐼
5 Reactions
11 Replies
302 Views
Mama achana na machawa fanya kazi https://youtu.be/nNphQMdV-XU?si=r54NUretG0H5LM2d
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Mheshimiwa Hamad Yusuph Masauni, waziri wa mambo ya ndani, ujumbe wangu kwako leo ni mfupi tu. Huwenda usikuchukue hata dakika 5 kuusoma kwasababu siku hizi hata simu zangu hushiki tena. Huwenda...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28...
3 Reactions
10 Replies
858 Views
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanasiasa wa Africa Mashariki ni hatari na nusu kwa unafiki Leo Ndio Gachagua anaonekana ni Mkabila baada ya Ruto kulewa Madaraka Kwako Mshana Jr Chadema Mikocheni 😃😃😃
1 Reactions
17 Replies
521 Views
MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa...
0 Reactions
9 Replies
353 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kikazi, alitembelea kanisa la Peramiho ambapo aliomba nafasi ya kuingia kanisani. Katika tukio hilo, alishuhudia wafuasi wa dini wakifanya maombi na...
1 Reactions
10 Replies
711 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Sasa imekuwa ni kama kawaida tu. Kwamba, tunatumia maneno bila kujua hasa tunachomaanisha na hatujali sana madhara ya kutumia maneno hayo bila kumaanisha tunachotaka...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo...
54 Reactions
164 Replies
11K Views
Habari NImekaa nikawaza namna vijana wanavyohnagaika kutafuta ajira kila mahali bila mafanikio,Wengine wakijaribu kujiajiri na kutafuta fursa ili wafanikiwe katika maisha yao.HIli limenifanya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa...
1 Reactions
1 Replies
246 Views
Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27...
2 Reactions
32 Replies
932 Views
Back
Top Bottom