UMEONA RAIS SAMIA ANAPIKA KWA NISHATI SAFI⁉️
Leo nimeona kipindi TBC Rais Dkt Samia akipika kwa kutumia nishati safi ya umeme na gesi. Kitu ambacho ni nadra na nadhani hakijawahi kutokea kwa Rais...
Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana.
Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai...
Nilisikika huko Ndotoni Katika Ulimwengu wa Kiroho pale nilipotekwa na Majambazi ya kisiasa na Kisha kuvutishwa Bangi bila ridhaa yangu kisa tu wanadai maneno yangu yanawaamsha watu na hivyo...
Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja...
On September 5th, American Chamber of commance (AMCHAM) Tanzania proudly hosted an engaging and insightful event themed "Unlocking PPP Potential: Empowering Diaspora and U.S. Businesses for...
Katika kuendelea kuchochea Uwajibikaji wa Viongozi mbalimbali wa Serikali, JamiiForums itautumia usiku wa kuwapa tuzo Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024 kumtambua na kutoa tuzo kwa...
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.
Nimeyasema haya baada ya...
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni...
Kwa hiyo nashangaa kuona Jakaya Kikwete anataka kuwa AU Chairperson.
Mtu kama Kikwete hawezi kusuhulisha mzozo Kama ule wa DRC.
Unakumbuka wakati wengi walifukuzwa mkoa gani sijui,baada ya...
RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
leo katika hotuba ya Ijumaa pande za Al masjid Manyema tarehe 27.09.2024 sawa na Rabil 24 1446 hijri Sheikh Jongo ametoa nasaha mubashara kabisa.
akigusia na kuwausia waumin wa Dini ya Kislamu...
Polisi wanasema waliyazuia maandamano ya Chadema, yaliyotakiwa kuwa ya amani, kwa sababu walikuwa na habari za intelijensia kwamba Chadema walikuwa wamepanga kufanya vurugu. Sawa, kama ni kweli...
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo...
Taarifa kamili hii hapa
---
Tanzania clamps down on opposition rally, arrests leaders
Former presidential candidate Tundu Lissu and at least 500 youth supporters among those detained.
Police in...
"Anaitwa mama wa Mageuzi na Mbeba Maono ya Taifa."
Akihutubia Bunge Kwa Mara ya Kwanza Jijini Dodoma mara baada ya Kuapa,Rais Samia alisema atafanya Mageuzi makubwa ya Elimu inayotolewa Kwa...
WANANCHI kutoka Wilaya za Itilima, Maswa, Meatu, Bariadi, Busega, Kishapu na Ushetu waliohudhuria Mkutano wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe uliofanyika Sep 13, 2024 Jimbo la Kisesa wamedai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.